Zurisy Graphics

3 (5)

Art & Design | 13.6MB

Description

Zurisy graphics ni app inayotoa huduma ya kuchapa, kuandika nyaraka mbalimbali, kuprinti picha, mabango, kuscan nyaraka mbalimbali, kurudufu nyaraka na maandiko mbalimbali, kutengeneza vijitabu na mantini mbalimbali, huduma ya Internet, Lamination, kutuma na kupokea barua pepe, kupiga na kusafisha picha za aina zote.
Aidha, tunatangaza matangazo mbalimbali zikiwemo kazi za wasanii wa nyimbo za injili, maigizo, na matangazo mengineyo ya watu binfsi na taasisi.
Tunao uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika utoaji wa huduma hizi. Tangu mwaka 2014 tunatoa huduma. KARIBU SANA UPATE HUDUMA MRUA.

Show More Less

Information

Updated:

Version: 1.0.1

Requires: Android 4.1 or later

Rate

Share by

You May Also Like