ORODHA

5 (32)

Educational | 3.3MB

Description

ORODHA ni program rahisi na ni nzuri yenye uwezo mkubwa sana wa kumfanya mtu afikilie, na ajaribu na kujifunza HESABU kwa njia rahisi kwa kutumia ORODHA. Pia ORODHA inauwezo mkubwa wa kumshirikisha mwanafunzi kwa kuweka jibu, kumfurahisha pale atakapo patia jibu lake na kumuhasisha mtumiaji kwa kumzomea ili arudie tena. ORODHA pia imetumia kiswahili lahisi ambacho kinaweza kueleweka.ORODHA pia ina maelezo ya utangulizi ya juu ya kuitumia.Kumbuka itumie ORODHA mara kwa mara ili uwe na uwezo wa kujifunza HESABU kwa urahisi.
ORODHA hii imegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni ORODHA ya mwanzo kati ya ORODHA ya kwanza mpaka ya kumi na mbili. Sehemu ya pili ya ORODHA ni ORODHA kati ya kumi na tatu mpaka ishirini na tano.
Kumbuka Mazoez mengi kipindi unatumia ORODHA ndipo unaongeza uwezo mkubwa wa kujua HESABU.

Show More Less

Information

Updated:

Version: 1.0

Requires: Android 4.0 or later

Rate

Share by

You May Also Like