Siri za Mapenzi icon

Siri za Mapenzi

1.0 for Android
4.2 | 10,000+ Installs | Reviews

MkaliMangi

Description of Siri za Mapenzi

Siri za Mapenzi App ni app yenye maudhui ya Lugha ya Kiswahili inayolenga kukupatia ewe msomaji elimu mahususi inayohusu masuala ya Mahusiano. Kupitia hii App utajifunza mambo kadha wa kadha kuhusu mahusiano kama vile:
* Namna ya kuishi vema na mwenzi wako
* Namna sahihi ya kutafuta mwenzi
* Jinsi ya kutatua migogoro inayotokea katika familia
* Namna ya kudumisha na kuboresha penzi
* Staili mbalimbali za tendo la ndoa
* Miiko na makatazo ambayo ni sumu katika mahusiano
*N.K
Usisite kumshirikisha app hii na rafiki ili aweze kuongeza ufahamu wake kwenye masuala ya mahusiano.

Information

  • Category:
    Dating
  • Latest Version:
    1.0
  • Updated:
    2020-08-12
  • File size:
    8.3MB
  • Requirements:
    Android 4.1 or later
  • Developer:
    MkaliMangi
  • ID:
    net.sirizamapenzi.app
  • Available on:
Reviews
  • avatar
    This app is very nice because give you high experience about love
    2020-10-06 08:28