Bongo Flava - Nyimbo Mpya & Zamani Audio & Video أيقونة

Bongo Flava - Nyimbo Mpya & Zamani Audio & Video

9.8 for Android
3.0 | 5,000+ عمليات التثبيت

BMIT Ltd

هذا الوصف ل Bongo Flava - Nyimbo Mpya & Zamani Audio & Video

Bongo Land Music ni App bora kabisa ambayo inampatia nafasi mtumiaji kuweza kusikiliza, kutazama na kupakua nyimbo zote kutoka kwa wasanii wote wa Tanzania (Bongo). Nyimbo zote mpya & zamani zinapatikana katika App hii.
Mtumiaji ataweza kupata yafuatayo;
>Kusikiliza nyimbo zote mpya & zamani
>Kutazama video za nyimbo zote mpya & zamani
>Kupakua(Download) nyimbo zote mpya & zamani
>Kusoma Lyrics za nyimbo zote mpya & zamani
>Kusoma taarifa na wasifu wa wasaani wote kutoka Tanzania
>Kusoma hadithi kutokana na maudhui ya nyimbo mbalimbali
App hii imesheheni nyimbo katika mpangilio tofauti tofauti kama vile;
>Bongo Fleva
>Singeli
>Taarabu
>Kwaya (Gospel) nakadhalika
>Hadithi kutokana na nyimbo mbalimbali
App hii ni bure kabisa, hakuna malipo yoyote yanatotozwa kutumia App hii.
App hii imesheheni wasanii mbalimali na nyimbo zao. Hatuna haki miliki ya kuuza nyimbo za msanii yeyote, isipokuwa App hii imetengenezwa kwaajili ya kuwapatia burudani wapenzi mbalimbali wa muziki wa Tanzania (Bongo Flava).
Hivyo kama hutopendezwa na lolote katika App hii na ukahitaji jina, wimbo/nyimbo au taarifa zozote ziweze kuondolewa katika App hii basi usisite kuwasiliana nasi kupitia email hii; [email protected]
Pakua App hii ili uweze kupata burudani na ladha nzuri za muziki Bongo.

تحديث Bongo Flava - Nyimbo Mpya & Zamani Audio & Video 9.8

Kusikiliza, Kutazama & Kudownload
Nyimbo Zote (Mpya & Zamani)
Wasanii Wote (Wapya & Zamani)
Kusoma Hadithi Zitokanazo Na Nyimbo

المعلومات

  • الفئة:
    الموسيقى والصوت
  • احدث اصدار:
    9.8
  • تحديث:
    2020-11-05
  • حجم الملف:
    9.6MB
  • المتطلبات:
    Android 4.1 or later
  • تم التحديث:
    BMIT Ltd
  • ID:
    old2new.bongoflavour