ikon ITUNZE NDOA YAKO

ITUNZE NDOA YAKO

1.0 for Android
3.0 | 10,000+ Instal

Avram inc.

Penjabaran dari 9apps ITUNZE NDOA YAKO

Mbinu za kudumu kwenye uchumba na ndoa
App hii ya Mapenzi na Ndoa inahusika na kutoa elimu inayohusu Mapenzi, Mahusiano, Ndoa, furaha kwa lengo la kujenga familia bora yenye ustawi mzuri wa maadili katika jamii na kubadilishana uzoefu katika masuala mazima ya mapenzi.
Jifunze Ufundi, Ubunifu na Utundu katika Mapenzi na Mahusiano, kupitia App hii ya Utamu Kitandani.
Kupitia App hii utapata dondoo Mbalimbali za mahusiano na mapenzi zinakazo kusaidia kujenga na kuimarisha mahusiano yako wewe na Mwenzi wako.
Pia utapata Hadithi mbalimbali za Mapenzi, itakayokujenga na kukuimarisha kifikra na kukupa burudani zaidi kwenye Mahusiano na ndoa.
Utundu na Utamu wote wa chumbani.
Siri zote za Mahusiano.
Ushauri wa Mahusiano na ndoa.
Uchumba na ndoa. ni mahali ambapo utakapo pata Elimu ihusuyo Mapenzi na huku ndipo kuna Dunia ya Mapenzi na Sayari ya Mapenzi na ni kijiwe kizuri sana cha Mapenzi
Elimu yote
ya mapenzi
SMS tamu za kumtumia mpenzi wako
Darasa Huru la Chumbani
Utamu na Utundu wa mapenzi
Utundu na Utamu wote wa chumbani.
Uchumba na ndoa ni mahali utakapo pata Elimu ihusuyo Mapenzi na huku ndipo kuna Dunia ya Mapenzi, Sayari ya Mapenzi pamoja na kijiwe safi kwa ajili ya mahusiano pamoja na mapenzi.
App hii ni ya kukuwezesha kutuma SMS za Love ama Upendo kwa mpenzi wako. Ukitaka mpenzi wako ajue kwamba unampenda, App hii ni ya maana sana kwako na uta furahia sana utunzi wa App hii.
Kwa ufupi, App hii itakusaidia kuzidisha mapenzi, Love, Romance, Uhuba, Upendo, Urafiki n ahata kufanya mpenzi wako akupende sana kuliko zamani.
Watakao tumia App hii:
- Wapendanao;
- Wasichana;
- Wavulana;
- Wana familia;
- Wazazi;
- Love birds;
- Watu ambao wako na uhusiano wa ndani sana.
Yaliyomo:
- Jumbe za mahaba;
- SMS za upendo;
- SMS ya mapenzi;
- SMS za msichana;
- SMS za uhusiano;
- SMS za kubembeleza;
- Message za mapenzi;
- SMS za usiku;
- SMS za kuudhi;
- SMS za usiku mwemwa;
- SMS za urafiki;
- SMS kwa umpendae.
Download this App, Rate and Share.

Memperbarui ITUNZE NDOA YAKO 1.0

App Mpya ya Itunze Ndoa Yako
imeboreshwa muonekano Mpya
Sasa utaweza
- kupokea ujumbe wa taarifa yaani "notification" kila tukipost.
-kubadilisha Mpangilio wa makala kwenye simu yako" kufuta(delete) kusave post n.k
-Haina Matangazo mengi.
-translation to all language
-crush problem fixed.

Informasi

  • Kategori:
    orang lain
  • Versi Terbaru:
    1.0
  • Perbarui:
    2020-04-24
  • Ukuran File:
    16.4MB
  • Persyaratan:
    Android 5.0 or later
  • Diupdate:
    Avram inc.
  • ID:
    com.mahusiano.na.ndoa
  • Uchumba na Ndoa.
    Ndoa na Mahusiano 1.0
    16.1MB
    2020-02-15
    APK
    Picture
  • Uchumba na Ndoa.
    Mahusiano na Ndoa 1.0
    16.1MB
    2020-02-03
    APK
    Picture
  • Uchumba na Ndoa.
    Mahusiano na Ndoa 1.0
    16.1MB
    2020-01-26
    APK
    Picture