ikon ORODHA

ORODHA

1.0 for Android
5.0 | 5,000+ Instal

Free ink Tanzania Technology Co. Ltd

Penjabaran dari 9apps ORODHA

Browse and download apps to your android phone from the App Store. 30,000+ users downloaded ORODHA latest version on 9Apps for free every week! This makes the app feel more like a popular merchandise, which is very positive in my opinion. This hot app was released on 2017-06-14. Get the latest version now!
ORODHA Program ni rahisi na ni nzuri yenye uwezo mkubwa sana wa kumfanya mtu afikilie, na ajaribu na kujifunza HESABU kwa Njia rahisi kwa kutumia ORODHA. Pia ORODHA inauwezo mkubwa wa kumshirikisha mwanafunzi kwa kuweka jibu, kumfurahisha pucat atakapo patia danau jibu na kumuhasisha mtumiaji kwa kumzomea ili arudie tena. ORODHA pia imetumia Kiswahili lahisi ambacho kinaweza kueleweka.ORODHA pia ina maelezo ya utangulizi ya Juu ya kuitumia.Kumbuka itumie ORODHA mara kwa mara ili Uwe na uwezo wa kujifunza HESABU kwa urahisi.
ORODHA hii imegawanyika Katika sehemu kuu Mbili ambazo ni ORODHA ya mwanzo kati ya ORODHA ya kwanza mpaka ya kumi na Mbili. Sehemu ya pili ya ORODHA ni ORODHA kati ya kumi na tatu mpaka ishirini na tano.
Kumbuka Mazoez mengi kipindi unatumia ORODHA ndipo unaongeza uwezo mkubwa wa kujua HESABU.

Informasi

  • Kategori:
    Pendidikan
  • Versi Terbaru:
    1.0
  • Perbarui:
    2017-06-07
  • Ukuran File:
    3.3MB
  • Persyaratan:
    Android 4.0 or later
  • Diupdate:
    Free ink Tanzania Technology Co. Ltd
  • ID:
    com.akid.latino_geneous.orodha