Jicho la Dunia

3 (5)

Notizie e riviste | 7.4MB

Descrizione

Jicho la Dunia app ni application inayokuwezesha kupata habari zote kutoka blog mbali mbali sehemu moja. utapata video za kuchekesha na nyinginezo za kuelimisha na utaweza download kila miziki mpya unaokuja ndani ya app hii kirahisi.
App inakuwezesha kupata ujumbe mfupi wa breaking news, mapenzi, mafundisho,simulizi mbalimbali bure kabisa bila malipo yoyote.
Soma kiurahisi kama magazeti bila ya kuwa na usumbufu wa matangazo na kubonyeza bonyeza sehemu nyingi.
Utaitaji kurefresh tu kupata habari mpya mpya kutoka sehemu mbali mbali.
Hana haja ya kuaribu bundle na space kuinstall app nyingi kwenye simu yako.

Show More Less

Informazione

Aggiornata:

Versione corrente: 3.2

È necessario Android: Android 4.0 or later

Rate

Share by

Potrebbe piacerti anche