App ya Ajira | Nafasi za kazi kila siku icon

App ya Ajira | Nafasi za kazi kila siku

1.0 for Android
3.0 | 10,000+ インストール

Jamii Huru

説明 App ya Ajira-Nafasi za kazi kila siku

I'm glad to tell you that 20,000+ users downloaded App ya Ajira | Nafasi za kazi kila siku latest version on 9Apps for free every week! More features are involved in this new version. This hot app was released on 2020-02-24. 9Apps believe you can enjoy yourself in this funny app.
Usipitwe tena na matangazo ya nafasi za kazi, Ajira zinazotangazwa mtandaoni zote zipo kwenye App ya ajira | Nafasi za kazi kila siku
Weka App ya ajira kwenye simu yako kisha tulia ujulishwe kwa sms kwenye simu yako. Share app hii na marafiki wanaohangaika kutafuta kazi Tanzania
Hakika ukiwa na App ya ajira sasa hutahangaika kutafuta kazi, Simu yako itakupa taarifa za nafasi za kazi. Usiitoe app hii kwenye simu yako hata ukishapata kazi kwakua bado utapata ushauri wa kufanya kazi kwa malengo na kujiendeleza
Mambo mengi utajifunza yakiwemo masuala ya kupata mikopo na kuanzisha biashara
Usihangaike tena wakati simu yako inaweza kukufanyia vitu vyote hivyo ukiwa na App ya ajira pekee.

新機能 App ya Ajira-Nafasi za kazi kila siku 1.0

Weka hii App ya ajira upate kazi haraka, Kila saa kuna matangazo ya kazi yanawekwa kwenye app hii.

情報

  • カテゴリー:
    ニュース&雑誌
  • 最終のバージョン:
    1.0
  • 更新日:
    2020-02-24
  • サイズ:
    16.1MB
  • 動作環境:
    Android 4.2 or later
  • 開発元:
    Jamii Huru
  • ID:
    com.app.ya.ajira.nafasi.za.kazi.kila.siku