Mapishi
3
식음료 | 4.0MB
Mapishi ni app inayolenga kukufundisha namna ya kutayarisha vyakula pamoja na vinywaji vya aina mbalimbali. Kwa kuanzia tu, tumeweka vyakula vichache katika kila kategori lakini tutakuwa tunaongeza vyakula vingi zaidi kadri tutakavyokuwa tuna~update toleo jipya.