Yanga Mpya Lite

3 (5)

스포츠 | 16.4MB

기술

Hii ni programu inayokuwezesha Shabiki wa Yanga Sc kupata kiundani mambo yote yanayohusu Michezo kwa Ujumla, zikiwemo chambuzi za Soka, nahistoria za Wachezaji wa Yanga Sc.
Katika App Hii ya Yanga Mpya Lite Utaweza Kujiunga na Groups za Timu Yako Ya Yanga Sc, nakuweza Kuchangia Mawazo na Mashabiki Wenzako Bure Kabisa.
Usiache Kutuandikia Maoni Yako Katika Programu hii ya Yanga Mpya Lite.
WAPE SALAAAAAAAAM.

Show More Less

정보

업데이트 날짜:

현재 버전: 1.0

필요한 Android 버전: Android 5.0 or later

Rate

Share by

당신은 또한 좋아할 수 있습니다