Global App icon

Global App

3.7.4 for Android
4.2 | 50,000+ ထည့်သွင်းရန်

Global Publishers

၏ဖော်ပြချက် Global App

GLOBAL PUBLISHERS,
Kupitia App yake mpya ya GLOBAL APP, imekurahisishia upataji na usomaji wa Habari za Kila Siku kuhusu Mastaa wa Bongo, Watu Maarufu, Viongozi, zikiwemo Habari za Magazeti ya Tanzania za kila siku asubuhi, REAKING NEWS mara tu zinapotokea kwa kupokea Notification kwenye simu yako ya kiganjani. Ndani ya App hii kuna Global TV Online ikikuletea video zote kali za kila siku kutoka Ikulu, Mastaa wa Bongo, Wanasiasa Wote na Matukio yote Makubwa.
AIDHA, utaweza kusoma MAGAZETI YA UDAKU pamoja na Hadithi za Eric Shigongo kwa Mfumo wa Audio na
Text. Pia Video Za Muziki Mpya wa Bongo Fleva, Habari zote za Michezo na Makala za Mapenzi na Afya unazipata ndani ya GLOBAL APP. Utakuwa ukipata Notification mara tu Taarifa ya Habari yaTBC1 inapoanza saa moja asubuhi, saa 7:00 mchana, saa 2:00 usiku na Global Habari inapoanza kila siku jioni.
Mastaa wa Bongo: Diamond Platnumz, Ali Kiba, Wema Sepetu, Zari The Bosslady, Aunt Ezekiel, Hamisa Mobeto, Lulu MIchael, Tunda, Giggy Money, Malaika,
DOWNLOAD GLOBAL APP SASA ILI UWE WA KWANZA KUHABARIKA NA KUBURUDIKA!

ဘာအသစ်လဲ Global App 3.7.4

Bug fixes

သတင်းအချက်အလက်

  • အမျိုးအစား:
    သတင်းနှင့် မဂ္ဂဇင်း
  • နောက်ဆုံးမူကွဲ:
    3.7.4
  • အပ်ဒိတ်လုပ်ပြီး:
    2019-12-06
  • အရွယ်:
    17.9MB
  • Android လိုအပ်သည်:
    Android 5.0 or later
  • ဆော့ဖ်ဝဲရေးသားသူ:
    Global Publishers
  • ID:
    com.globalpublishers.mainapp
  • Available on:
  • Global App
    Global App 3.7.4
    17.7MB
    2021-05-25
    APK
    Picture
  • Global App
    Global App 3.7.4
    17.9MB
    2019-12-06
    APK
    Picture
  • Global App
    Global App 5.2.18
    12.8MB
    2023-06-27
    XAPK
    Picture