Namba ya Kitambulisho cha Taifa NIDA
3.15
Работа | 2.7MB
Namba ya Kitambulisho cha Taifa cha Nida.
App hii inakuwezesha kupata namba ya kitambulisho cha Nida kutokana na taarifa utakazoingiza kwenye portal ya Nida. Namba ya vitambulisho vya taifa Tanzania inatolewa na Nida, Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa Tanzania.
Fahamu jinsi ya kupata namba ya kitambulisho cha NIDA
(Tanzania National identification Authority NIDA) namba za vitambulisho vya taifa
Angalia Namba Ya Kitambulisho Cha Nida
Обновлено: 2020-01-13
Версия: 12.0
Требования: Android 4 или более поздняя