Application hii ina kusaidia kuangalia movies zilizo tafsiriwa kwa lugha adiu ya kiswahili
kutoka kwa ma Dj mbali mbali hapa tanzania kama
Dj Mark
Dj Spencal
Dj Maffia's
Dj six fingers
Angalia Vitu Vya premium kwa shilingi 2500
Ofa Hii itaenda kwa wateja 500 wa kwanza tu hivyo wahi mapema chukua nafasi yako
Movies